Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Kibaoni katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi za CCM, mkoani Katavi tarehe 18 Oktoba, 2025.
Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara wa Kampeni wa Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan uliofanyika Kibaoni mkoani Katavi tarehe 18 Oktoba, 2025.
Sehemu ya Wananchi wa Kibaoni waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni wa Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan wilayani Mpimbwe, mkoani Katavi, tarehe 18 Oktoba, 2025.