Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro akiwa kwenye kikao kazi na Wajumbe wa Sekreterieti ya CCM Mkoa wa Katavi, kilichofanyika mjini Mpanda, leo Ijumaa, tarehe 17 Oktoba 2025.
Kikao kazi hicho ambacho pia kilihudhuriwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Katavi Ndugu Idd Kimanta na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa, Ndugu Gilbert Sampa, ni sehemu ya maandalizi ya kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa tiketi ya CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan siku ya Jumamosi, tarehe 18 Oktoba 2025