Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. 𝗦𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗦𝘂𝗹𝘂𝗵𝘂 𝗛𝗮𝘀𝘀𝗮𝗻 aawasili Kenya uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba mkoani Kagera ili kuzungumza na wananchi wa Bukoba na viungs vyake na kuwaomba kumpigia kura ya ndiyo ili kupata ushindi wa kishindo ifikapo Oktoba 29 katika uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani utakaofanyika nchini kote.
RAIS DKT. SAMIA AWASILI KWENYE UWANJA WA KAITABA MJINI BUKOBA
