Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara wa Kampeni wa Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan uliofanyika katika uwanja wa Kaitaba, Bukoba mkoani Kagera tarehe 16 Oktoba, 2025.
MATUKIO MBALIMBALI YA MKUTANO WA KAMPENI ZA CCM BUKOBA MJINI
