Mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Emmanuel John Nchimbi tayari amewasili katika uwanja wa mji mpya,Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma leo Oktoba 16,2025 kuendelea na mikutano yake ya hadhara ya kampeni ya kusaka kura za ushindi wa kishindo wa CCM baada ya kuhitimisha kampeni zake jana mkoani Singida.
DKT. NCHIMBI NDANI YA JIMBO LA MPWAPWA MUDA HUU MKOANI DODOMA
