Wananchi wa Muleba na vitongoji vyake mkoani Kagera wakiwa wamejitokeza kwa wingi kumpokea mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan amayetarajiwa kuwasili hapo muda mfupi ujao kea ajili ya kuzungumza na wanancho na kuwaomba kura kumpigia za ndiyo katika uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani ifikapo Oktoba 29, 2025.
MAPEMA TUU WANAMULEBA WAMEFIKA KUMSUBIRI DKT SAMIA
