Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan katika matukio tofauti ya picha alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Bukoba Mkoani Kagera tayari kwa kuzisaka kura Katika Kampeni Za uchaguzi Mkuu leo October 15,2025.
DKT, SAMIA AWASILI MKOANI KAGERA TAYARI KWA KUZISAKA KURA ZA UCHAGUZI MKUU
