Mgombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt.Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye viwanja wa EPZ Bombambili mjini Geita kuhutubia wananchi katika mkutano wa Kampeni ambapo atawaomba wananchi hao kumpigia kura ya ndiyo katika uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025 nchini kote.
DKT. SAMIA AWASILI UWANJA WA EPZ BOMBAMBILI KUOMBA KURA KWA WANAGEITA
