Mgombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt.Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye uwanja wa stendi ya zamani Chato mkoani Geita kuhutubia wananchi katika mkutano wa Kampeni ambapo atawaomba wananchi hao kumpigia kura ya ndiyo katika uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025 nchini kote.
DKT. SAMIA AWASILI KWENYE UWANJA WA STENDI YA ZAMANI MATAA CHATO
