Umati mkubwa wa wananchi imefurika kwenye uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga katika mkutano wa Kampeni za mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano mkubwa uliofanyika leo Oktoba 11, 2025
UMATI MKUBWA WAMPOKEA DKT. SAMIA UWANJA WA KAMBARAGE SHINYANGA
