Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan alipozungumza na kuomba kura kwa Umati wa Wananchi wa Kata ya Luguru, Itilima Mkoani Simiyu wakati wa Kampeni Za uchaguzi Mkuu leo October 11,2025.
DKT . SAMIA ASALIMIA WANANCHI WA LUGURU ITILIMA MKOANI SIMIYU
