Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Maganzo katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM, mkoani Shinyanga tarehe11 Oktoba, 2025.
DKT. SAMIA AOMBA KURA KWA WANANCHI WA MAGANZO SHINYANGA
