Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt.Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza Oktoba 08, 2025 ili kuwahutubia wananchi hao ambapo Dkt. Samia ataeleza utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya 2020/ 2025 na kuwaambia namna watakavyotekeleza Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2025/2030 huku kakiwaomba wananchi Hao kumpigia kura ya ndiyo katika uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025 nchini kote.
DKT. SAMIA AWASILI UWANJA WA NYAMAGANA KUZUNGUMZA NA WANANCHI WA MWANZA
