Jina langu ni Brian kutoka Eldoret, na hadi leo bado siamini kilichotokea. Nilikuwa nimepata mkopo mkubwa kupitia biashara yangu ya vifaa vya ujenzi, na nikafanya kosa kubwa zaidi maishani mwangu kumpa rafiki yangu deni kubwa bila maandishi. Nilimwamini kwa moyo wote kwa sababu tulikua pamoja kama ndugu. Nilidhani urafiki wetu wa miaka mingi ungekuwa dhamana tosha. Lakini mambo yalibadilika haraka.
Nilipomkumbusha kuhusu deni, alianza kunikwepa. Kila mara nilimpigia simu, hakupokea. Nilimtumia ujumbe, hakujibu. Baada ya wiki chache, niliambiwa amehama kabisa mtaa wetu na hata kubadilisha namba. Nilihisi damu imenipanda kichwani. Nilijua nimefilisika. Nilipoteza zaidi ya milioni moja, pesa ambazo zilikuwa mtaji wangu wa biashara. Nilianza kufungwa na madeni, nikashindwa kulipa kodi, na hatimaye nikafungwa biashara yangu.. … SOMA ZAIDI