Mratibu wa Kampeni za Uchaguzi kupitia CCM (kanda ya kati) na aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Bashiru Ally, amewasili na kupokelewa na wananchi wa Buhongwa wilayani Nyamagana mkoani Mwanza tayari kuendelea gurudumu la kumnadi Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Rais Dkt. 𝗦𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗦𝘂𝗹𝘂𝗵𝘂 𝗛𝗮𝘀𝘀𝗮𝗻 leo tarehe 7 Oktoba 2025.
𝙈𝙬𝙖𝙣𝙯𝙖 𝙞𝙢𝙚𝙖𝙣𝙯𝙖 𝙠𝙪𝙤𝙣𝙚𝙨𝙝𝙖 𝙪𝙠𝙪𝙗𝙬𝙖 𝙬𝙖𝙠𝙚 𝙠𝙖𝙩𝙞𝙠𝙖 𝙠𝙪𝙢𝙡𝙖𝙠𝙞 𝘿𝙠𝙩. 𝙎𝘼𝙈𝙄𝘼 𝙣𝙖 𝙖𝙝𝙖𝙙𝙞 𝙮𝙖𝙤 𝙣𝙞 𝙠𝙪𝙢𝙥𝙖 𝙢𝙞𝙩𝙖𝙣𝙤 𝙩𝙚𝙣a