Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Karatu mkoani Arusha katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM tarehe 03 Oktoba, 2025.

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akikabidhi Ilani ya Uchaguzi kwa Mgombea Ubunge wa Jimbo la Karatu mara baada ya kuwahutubia wananchi tarehe 03 Oktoba, 2025.
Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika Karatu mkoani Arusha tarehe 03 Oktoba, 2025.

Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika Karatu mkoani Arusha tarehe 03 Oktoba, 2025.

Sehemu ya wananchi wa Karatu mkoani Arusha waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) tarehe 03 Oktoba, 2025.