Tayari maelfu ya wananchi wa wilaya ya Korogwe na maeneo mengine ya karibu mkoani Tanga wamejitokeza kwa wingi pembezoni mwa barabara wakiwa tayari kumlaki na kumsikiliza Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. ๐ฆ๐ฎ๐บ๐ถ๐ฎ ๐ฆ๐๐น๐๐ต๐ ๐๐ฎ๐๐๐ฎ๐ป ambaye atanadi sera na ahadi za CCM pamoja na kuomba kura, leo tarehe 30 Sepemba 2025.
#KaziNaUtuTunasongaMbele
#OktobaTunatiki๐น๐ฟโ