Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akionekana katika picha kuwashukuru baada ya kuhutubia wananchi wa Ndanda, Masasi mkoani Mtwara katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM, tarehe 24 Septemba, 2025.
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchi wa Ndanda, Masasi mkoani Mtwara katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM, tarehe 24 Septemba, 2025.
Masista wa Mtakatifu Benedicto wa Msaada wa Kikristo Afrika kutoka Ndanda wakimuombea Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan mara baada ya kuhutubia wananchi wa Ndanda, Masasi mkoani Mtwara katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM, tarehe 24 Septemba, 2025.