Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Mangaka katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM, Nanyumbu mkoani Mtwara tarehe 23 Septemba, 2025.
Shamra shamra katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika Mangaka Wilayani Nanyumbu mkoani Mtwara tarehe 23 Septemba, 2025.
Sehemu ya wananchi wa Mangaka waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika wilaya ya Nanyumbu mkoani Mtwara tarehe 23 Septemba, 2025.