Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla alipowasili Kwenye viwanja vya Kwareni kuzindua wa kampeni za uchaguzi za CCM Jimbo la Kiwani Pemba, Septemba 21, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Viongozi alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Pemba ambako alizindua kampeni uchaguzi za CCM katika Jimbo la Kiwani Zanzibar, Septemba 21, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri ya CCM Taifa Mohammed Abood (kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, Rashid Hadidi Rashid (wa pili kushoto) na Mwenyekiiti wa CCM Mkoa wa Kusini, Yufuf Ali Juma alipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Pemba ambako alizindua kampeni uchaguzi za CCM Jimbo la Kiwani Zanzibar, Septemba 21, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Vijana wa Bendi ya Umoja wa Vijana wa CCM wakitumbuiza katika uzinduzi kampeni za uchaguzi za CCM Jimbo la Kiwani Pemba kwenye uwanja wa Kwareni, Septemba 21, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Wanananchi wa Pemba walioshiriki uzinduzi wa kampeni za uchaguzi za CCM Jimbo la Kiwani Pemba kwenye uwanja wa Kwareni, Septemba 21, 2025. Mgeni Rasmi katika uzinduzi huo alikuwa Mjumbe wa kamti Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)