Wananchi wa wilaya ya Mbinga maarufu ‘Mbinguni’ mkoani Ruvuma wakiwa na hamasa kubwa wakati wakisubiri kumpokea mgombea Urais wa Jamburi ya Muumgano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye anaanza kampeni zake mkoani humo kwa mikutano ya kampeni Mbinga na Mbamba Bay wilaya ya Nyasa akitarajiwa kuwahutubia wananchi wa maeneo hayo na. kuwaomba kumpigia kura za ndiyo katika uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani unaitarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025 nchini kote.
NA JOHN BUKUKU- MBINGA




Mgombea Ununge wa Jimbo la Mbinga Judith Kapinga akiserebuka na wananchi wa Jimbo lake wakati wa mapokezi ya Mgonbea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan mjini Mbinga ambapo atawahutubia wananchi na kuwaomba kura.





