Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika viwanja vya Hamburu wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa Kaskazini huku kukiwa na wananchi wengi wa Nungwi,waliohudhuria Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Leo Septemba September 18, 2025.
Sehemu ya wananchi wa Nungwi, Mkoa wa Kaskazini Unguja waliohudhuria Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) tarehe 18 Septemba, 2025.