Betway, moja ya kampuni inayoongoza duniani kwenye michezo ya kubashiri, imejizatiti kuwapa wateja wake huduma mpya yenye kuvutia, kusisimua na ubunifu mkubwa ambao unaendelea kuboresha uzoefu wa mteja kwenye kubashiri. Ukizingatia wingi wa huduma za kipekee ambazo Betway imeleta karibu na mteja kama vile Win Boost, Bet Influencer, Bet Saver, Cash Out na nyingine kibao, lilikuwa ni suala la muda kabla ya kuanzisha mpango wa uaminifu wa kipekee kwa wateja.
Betway Tunzo ni huduma mpya yenye faida iliyozinduliwa hivi karibuni kutoka Betway. Inajitofautisha ikilinganishwa na huduma nyingine kwenye sekta hii, kupitia urahisi wake na uhuru unaowapa wateja wa kubashiri kuchagua jinsi ya kutumia Point zao.
Mpango huu wa zawadi unategemea mfumo wa Point ambapo kila Beti ambayo mteja anaweka, iwe kwenye michezo ya spoti au kasino, inachangia kwenye jumla ya Point za uaminifu. Idadi ya Point zinazopatikana ni sawa kabisa na thamani ya Pesa wakati wa kuzitoa, ikimaanisha kuwa ikiwa mteja ana Point 50, anaweza kuzibadilisha moja kwa moja kuwa TSh 50.
Betway Tunzo inatoa faida kubwa kupitia udhibiti inayowapa wateja. Point hupatikana kwa wakati halisi, badala ya kusubiri hadi mwisho wa mwezi jambo linalompa mteja uwezo wa kubadilisha Point zake kuwa Pesa taslimu muda wowote. Zaidi ya hapo, Pesa hizo huingia moja kwa moja kwenye akaunti ya Betway ya mteja na zinaweza kutumika kuweka Dau zaidi au kutolewa papo hapo bila masharti yoyote.
Calvin Mhina, Meneja Masoko Betway Tanzania, alieleza kuwa huduma hii mpya, “Inaonesha dhamira yetu ya kuwarudishia wateja wetu na kuwapa thamani zaidi. Betway Tunzo haina masharti yaliyofichwa, haikulazimishi kusubiri na pia ni rahisi kuielewa na kuitumia. Inaboresha kwa kiasi kikubwa uzoefu wa wateja wetu wa Betway na kuwapa nafasi zaidi za kubashiri na nafasi zaidi za kuondoka na ushindi mkubwa.”
Betway inalenga kuongeza viwango vya uaminifu katika sekta ya kubashiri. Kwa maelezo zaidi kuhusu Betway Tunzo na huduma nyingine za Betway, tembelea tovuti yetu kupitia www.betway.co.tz