Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akikabidhi ilani ya Uchaguzi ya 2025- 2030 kwa Mgombea Ubunge jimbo la Kasulu Profesa Joyce Ndalichako mara baada ya kuzungumza na wananchi wa Kasulu katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho mkoani Kigoma tarehe 13 Septemba, 2025.
Sehemu ya Wananchi wa Kasulu waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoani Kigoma tarehe 13 Septemba, 2025.
Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika Kasulu mkoani Kigoma tarehe 13 Septemba, 2025.