Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Kalinzi katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho mkoani Kigoma tarehe 13 Septemba, 2025.
DKT. SAMIA AOMBA KURA KWA WANANCHI WA KALINZI KIGOMA
