Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama hicho Dkt. Philip Isdor Mpango mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kigoma kwa ajili ya kuendelea na Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho mkoani Kigoma tarehe 12 Septemba, 2025.
Mgombea nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili Uwanja wa Ndege wa Kigoma kwa ajili ya kuendelea na kampeni za Uchaguzi Mkuu za chama hicho mkoani Kigoma, tarehe 12 Septemba, 2025.