Jina langu ni Jane. Mwaka 2018 niligundulika nina vidonda vya tumbo. Wakati huo havikuwa vikinisumbua sana, isipokuwa nilipokula nilihisi kuungua tumboni kutokana na asidi. Mara nyingine nilipovuta pumzi, kulikuwa na harufu mbaya sana ikitoka—kama kitu kilichooza. Nilijaribu kutumia dawa mbalimbali, za hospitali na hata za mitishamba, lakini hazikunisaidia. Kwa kuwa kipindi hicho nilikuwa bado shuleni……. SOMA ZAIDI