Katika kijiji kimoja wilayani Tarime, aliishi kijana aitwaye Emmanuel. Tofauti na watoto wengine, Emmanuel hakuwa kijana mwenye akili ya kung’aa darasani. Mara zote alipopewa mitihani, jina lake lilikuwa likiorodheshwa nafasi ya mwisho. Walimu wake walijitahidi kumsaidia, lakini bado hakufaulu. Wanafunzi wenzake walimcheka kila mara wakimwita majina ya kubeza kama “kichwa maji” au “mjinga wa darasa.” ………. SOMA ZAIDI