Katika kijiji kimoja kilicho nje kidogo ya mji wa Morogoro, aliishi binti mmoja aliyeitwa Agnes, mwenye umri wa miaka ishirini na nane. Agnes alikuwa binti mpole, mwenye bidii na heshima kubwa kwa wazazi wake. Alifanya kazi ya biashara ndogondogo sokoni na kwa juhudi zake ndizo zilizomsaidia kujikimu kimaisha na pia kuwasaidia wazazi wake. Miaka michache……….. SOMA ZAIDI