Jina langu ni Maryamu. Kwa kweli maisha yangu ya ndoa yamekuwa ya ajabu sana. Nimeolewa na mwanaume aitwaye Daniel. Huyu mwanaume ni tofauti kabisa na wanaume wengi ninaowajua. Yeye anajifanya kama mtakatifu: hajawahi kunificha simu yake, hata kama simhitaji, ananipa. Ana password za kila kitu waziwazi—kuanzia simu, M-Pesa hadi benki. Muda wote yupo huru, na……. SOMA ZAIDI