Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye uwanja wa Samora mjini Iringa Septemba 07, 2025 kuzungumza na wananchi ili kuwaelezea sera za chama chake na. kuwaomba kura za ndiyo kuelekea uchaguzi mkuu, utakaofanyika Oktoba 29, 2025 mwaka huu.
NA JOHN BUKUKU- IRINGA