Mgombea ubunge jimbo la Kigoma mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akiwa na viongozi waandamizi wa chama mkoani Kigoma walipokuwa kwenye matembezi kutoka ofisi za chama za mkoa kuelekea kwenye viwanja vya Mwami Ruyagwa utakapofanyika uzinduzi wa kampeni zake katika jimbo hilo, Septemba 6, 2025.
ZITTO KABWE AZINDUA KAMPENI ZA UBUNGE JIMBO LA KIGOMA MJINI
