Mgombea nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Uyole Mkoani Mbeya alipokua njiani akielekea Tukuyu katika muendelezo wa kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho tarehe 05 Septemba 2025.
Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Uyole wakati akielekea Rungwe katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho mkoani Mbeya tarehe 05 Septemba, 2025.