Tayari wananchi Tunduma wilaya ya Momba Mkoani Songwe wamefurika kwenye uwanja wa Tunduma kwa ajili ya kumsikiliza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM ambapo Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM akiwa tayari atazungumza nao na kuwaomba kura za ndiyo Oktoba 29, 2025 katika uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani unaotarajiwa kufanyika nchi nzima.
NA JOHN BUKUKU