Wananchi na wakereketwa wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wamejitokeza kwa wingi kuonesha imani yao kwa Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama hicho, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu zinazoendelea kote nchini ambako kesho Jumatano anatarajia kufanya Kampeni katika mkoa wa Songwe.
HODI SONGWE, WANANCHI WAMEONESHA IMANI KWA DKT. SAMIA SULUHU HASSAN
