Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Chamwino katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho mkoani Dodoma tarehe 31 Agosti, 2025.
Matukio mbalimbali kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika Chamwino mkoani Dodoma tarehe 31 Agosti, 2025.
Sehemu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) Chamwino mkoani Dodoma tarehe 31 Agosti, 2025.