Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Chemba na kuwaomba wampigie kura za ndiyo katika uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani utakaofanyika Oktoba 29, 2025 nchi nzima.
RAIS SAMIA AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA CHEMBA MKOANI DODOMA
