Umati mkubwa wa wananchi unaendelea kufurika katika kwenye viwanja vya Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es salaam tayari kumsikilizia Mgonbea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan na Mgombea Mwenza Dkt. Emanuel John Nchimbi ambao pamoja na kubutubia mkutano huo pia watatambulishwa rasmi kwa wananchi na wapiga kura wa Dar es Salaam.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Chid Benz akitumbuiza katika unesho LA utangulizi kwenye uzinduzi wa mkutano huo wa kampeni unaofanyika viwanja vya Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es Salaam.
(PICHA NA JOHN BUKUKU- KAWE)