Patrick alikulia mtaani Kayole, Nairobi, akiwa na familia maskini sana. Baba yake alifariki mapema, na mama yake alijitahidi sana kumlea pamoja na ndugu zake wanne kwa kuuza mboga sokoni. Ingawa maisha yalikuwa magumu, Patrick hakukata tamaa na alisoma kwa bidii. Ndoto yake ilikuwa moja tu – kupata kazi nzuri, kusaidia familia yake na kubadilisha hadithi………. SOMA ZAIDI