Mary aliolewa akiwa na umri wa miaka ishirini na tano. Kama binti mwenye matumaini na ndoto za kuwa mama, aliingia kwenye ndoa yake na furaha kubwa. Lakini miezi ilipita, ikawa miaka, na hakuna ishara yoyote ya ujauzito. Kila alipohisi tumbo limechelewa, hakuwa na ujauzito bali hofu mpya. Kila mara alipoenda hospitali, madaktari walimwambia afya yake ilikuwa sawa. Lakini matokeo hayakuwahi kubadilika…… SOMA ZAIDI