Zikiwa zimebaki siku 7 pekee kuelekea uzinduzi rasmi wa kampeni za Uchaguzi Mkuu 2025, wakina dada wamejitokeza kwa ubunifu kupitia photoshoot ya mshikamano kuonesha mapenzi na imani yao kwa Mgombea Urais wa CCM, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Hizi ni zaidi ya picha, ni ujumbe wa matumaini na uthibitisho kuwa kizazi cha sasa kinaamini katika dira ya maendeleo na utu. Kwa pamoja wanasema, Mwendo wa Samia ni Mwendo wa Maendeleo.
#MwendoWaSamia #TunachaguaMaendeleo #OktobaNiSamia