Wakazi wa kijiji cha Marachi wamesalia kushangaa baada ya tukio la kipekee ambalo limechukuliwa na wengi kama ishara ya nguvu za kiroho za ulinzi. Familia moja kutoka eneo hilo ilieleza jinsi walivyopata onyo lisilo la kawaida kupitia ndege mkubwa mwenye manyoya meupe yaliyong’aa na macho ya dhahabu, dakika chache kabla ya tukio baya kutokea. Mashuhuda. ….. SOMA ZAIDI