Wananchi mbalimbali wameendelea kutembelea katika banda la Bodi ya Bima ya Amana DIB katika Maonesho ya Kilimo, MIfugo na Uvuvi (Nanenane) yanayofanyika kitaifa katika viwanja vya Nzuguni, jijini Dodoma
Ambapo taasisi hiyo imeendelea kutoa elimu kwa wananchi wanaotembelea katika Bamda hilo ili kupata uelewa namna DIB inavyotekeleza majukumu yake.