Hakuna kitu kinauma kama mke wako ambaye unamtunza kwa kumgharamikia kila kitu ili aweze kuishi vizuri na kupendeza unasikia anatembea na mwanaume mwingine nje ya ndoa.
Jambo hilo limewahi kunikuta tena mbaya zaidi mke wangu alikuwa anatembea na mfanyakazi wangu wa ndani wa kiume (house boy) ingawa nilikuwa namuuliza kila mara na yeye akikanusha hilo…. SOMA ZAIDI