Hadi sasa kati ya mambo ambayo siwezi kuja kuyasahau katika maisha yangu ni matukio ya kukabwa nikiwa ndotoni na watu ambao nakuwa nawafahamu hasa rafiki zangu lakini nikishaamka siwakumbuki tena. Naitwa Meshaki, mwaka mmoja na nusu uliyopita nilikumbwa na changamoto moja kubwa sana katika maisha yangu, hasa pale ambapo nilianza kuota ndoto za kutisha kiasi….. SOMA ZAIDI