Katika kutafuta mke wa kumuoa kuna wakati nilifikia kipindi na kusema huwenda nina mikosi katika maisha yangu, hiyo ni kutokana kila mwanamke ambaye nilikuwa namtongoza alikuwa akinikatalia ombo langu. Sikujua sababu ni nini hasa maana kama ni mvuto wa sura ninao, nina kazi ya kunipa kipato kizuri tu cha kijikimu na kuendeleza maisha yangu na…… SOMA ZAIDI