Sita wapita mchujo Bumbuli,,.Makamba nje
aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Bumbuli January Makamba ameshindwa kupita katika mchujo wa uteuzi wa kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi(CCM).
Akizungumza na waandishi wa habari Leo Julai 29 , 2025 Jijini Dodoma, Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla ametangaza Majina yaliyopitishwa na chama hicho kushiriki kura hizo ni Hidaya Hassan Kilima, Zahoro Rashid Hanuna, Eng. Ramadhan Hamza Singano, Rashid Salimu Kilua, Silas Joram Shehemba na John Aloyce Kilima.
JANUARI MAKAMBA HAJAPITA KWENYE MCHUJO BUMBULI
