Ukweli ni kwamba heshima ya kweli anayopewa mwanaume kutoka kwa mke wake ni pale ambapo anatimiza majukumu yake vizuri ya kuihudumia familia, na kubwa zaidi ni pale wakati wa kula chakula cha usiku, mume ahakikishe mke kala na kuridhika. Wakubwa tunaelewana vizuri katika jambo hilo nyeti zaidi, huo ni uwanja wetu wa vita wa kujidai. ……….. SOMA ZAIDI