Moshi wa mgogoro wa kifamilia ulianza kujitokeza kimyakimya ndani ya nyumba yetu ya ndoa pale nilipoanza kugundua kuwa mume wangu alikuwa akiniona kama mzigo. Hakuwa tena yule mwanamume niliyeolewa naye kwa upendo; sasa alizungumza kwa kejeli, akinitazama kwa jicho la dharau, na mara nyingi alionyesha wazi kwamba hakuwa na heshima tena kwangu. Sababu? Kwa sababu. ….. SOMA ZAIDI