Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Julai 202025 ameondoka nchini kwenda Bellarus kwa ziara ya kikazi ya siku tatu. Kwenye uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam aliagwa na Mkuu wa wilaya ya Temeke, Sixtus Mapunda aliyemwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Pichani, Waziri Mkuu wa mkewe Mary Majaliwa (katikati) wakisalimiana na Mkuu wa wilaya ya Temeke Sixtus Mapunda kabla ya kuondoka. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Julai 20, 2025 ameondoka kwenda nchini Belarus kwa ziara ya kikazi ya siku tatu. Kwenye uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam aliagwa na Mkuu wa wilaya ya Temeke, Sixtus Mapunda aliyemwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Pichani Waziri Mkuu wa mkewe Mary Majaliwa (katikati) wakizungumza na Mkuu wa wilaya ya Temeke Sixtus Mapunda kabla ya kuondoka. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Julai 20, 2025 ameondoka nchini kwenda Belarus kwa ziara ya kikazi ya siku tatu. Kwenye uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam aliagwa na Mkuu wa wilaya ya Temeke, Sixtus Mapunda aliyemwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Pichani, Waziri Mkuu akizungumza na Mkuu wa wilaya ya Temeke, Sixtus Mapunda kabla ya kuondoka. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)